Kutokana na ukubwa na ongezeko la watu wanaozungumza lugha ya kiswahili Africa na Ulimwenguni, tunao waalimu imara kabisa katika ufundishaji wa lugha ya Kiswahili. Tuna tumia kamusi na mifano halisi katika kufundisha wanafunzi wetu. Karibuni sana
Tangu awasili Lengend Schools amekua ni chachu kubwa kwa wanafunzi kuongea Lugha ya kiswahili kwa ufasaha kabisa. Juhudi zake binafsi zimekua mchango mkubwa sana katika kuhakikisha wanafunzi wanaongea Kiswahili fasaha. Tunampongeza kwa kua mwalimu bora wa kiswahili.

Subscribe our newsletter and get latest update